Vestine & Dorcas - EMMANUEL Lyrics
Lyrics
Kwa upande wako nitasimama himara Hata marafiki wanitenge ,kila mahali nizatungukwa na neema nitazidiwa na nyimbo za sifa
Nimeona waliopondwa wamerejeshwa tena waliocoka hupata nguvu mpya
Roho tasa ziriokorewa kwa pumzi wako takatifu Kwa kila ajabu uliofanya, niliona sababu za kukuabudu.
kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari x2
Bila masharti ulinichaguwa ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina x2 Kwa Juu yangu
ooooooh Niligonga mlango Ooooooh ukanifunguliya Ooooh I will Glorify you . I ‘go lift you high kwa uhuru nimepata
Verse 2:
umekaa nami katika zhoruba kupitia mwoto tumekuwa pamoja myoyo yetu ilijaliwa na Woga. huruma yako ikanikomboa
upendo wako ni ngao yangu Golliati hatanizowea Ushindi wako ni fahari yangu
Fimbo yako inaniongoza Mwana kondo mwenye miujiza Ushindi wako ni fahari yangu
kwa kila ajabu uliofanya. Niliona sababu za kukuabudu. kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari x2
Bila masharti ulinichaguwa Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina
Kwa juu yangu ooooooh Niligonga mlango ooooooh ukanifunguliya Ooooh I will Glorify you I ‘go lift you high
kwa uhuru nimepata
Kwa pleasure na Sorrow through every hollow
I will always walk in steps you called me to follow
katika kila tatizo iwe kubwa ao dogo nitaweka Imani yangu yote kwako
kwa kila ajabu uliofanya. Niliona sababu za kukuabudu. kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari x2
Bila masharti ulinichaguwa Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina
Kwa juu yangu ooooooh Niligonga mlango ooooooh ukanifunguliya Ooooh I will Glorify you I ‘go lift you high
kwa uhuru nimepata
kwa kila ajabu uliofanya. Niliona sababu za kukuabudu. kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari
Bila masharti ulinichaguwa Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina
Kwa juu yangu ooooooh Niligonga mlango ooooooh ukanifunguliya Ooooh I will Glorify you I ‘go lift you high
kwa uhuru Nimepata
MIE Music “ Jesus Is Our Shepherd “
Video
EMMANUEL - Vestine & Dorcas (Official Video)