Sifa Lyrics

Nimebaki Nawe by Joel Lwaga cover art

Joel Lwaga - Nimebaki Nawe Lyrics

Artist:
Joel Lwaga
Album:
Good To Go
Official Release:
24 Nov 2023

Lyrics

Dhoruba zilikuja na zikapita


Nyakati za huzuni na kutisha


Na mazuri yamekuja na yakapita


Nyakati za furaha na kucheka


Ila sikubadili ulivyo kwangu


Wala sikubadili nilivyo kwako


Umebaki mungu nyakati zote


Umebaki mungu majira yote


Umebaki mungu wa nyakati zote


Umebaki mungu


Wewe ni mungu wa hali zote 


Na nyakati zote u mungu wangu


Wewe ni mungu nivipate vyote 


Ata nikose u baba yangu


Wewe mungu nimebaki na wewe


Wewe mungu nimebaki na wewe


Wewe mungu nimebaki na wewe


Wewe mungu nimebaki na wewe


Ni nini kitanitenga na upendo wako


Hakuna 


Hakuna 


Hakuna 


Je kushiba ama nikuona njaa 


Je amani ama ni upanga


Je ni mauti ama uzima


Yalioko na yatakuja


Wewe ni mungu wa hali zote 


Na nyakati zote u mungu wangu


Wewe ni mungu nivipate vyote 


Ata nikose u baba yangu


Wewe ni mungu wa hali zote 


Na nyakati zote u mungu wangu


Wewe ni mungu nivipate vyote 


Ata nikose u baba yangu


Wewe ni mungu


Nimebaki na wewe


Wewe ni mungu


Nimebaki na wewe


Wewe ni mungu


Nimebaki na wewe


Nimebaki na wewe


Nimebaki na wewe


Nimebaki na wewe


Video