Sifa Lyrics

Neema by Vestine & Dorcas cover art

Vestine & Dorcas - Neema Lyrics

Artist:
Vestine & Dorcas
Album:
Neema - Single
Official Release:
26 Jun 2024

Lyrics

Nimezaliwa katika familiya
iliyo zalauliwa sana
Maisha magumu sana hayo
Ndio Nimepitiya
Nilithamani sana kujiua lakini
habikuwezekani
matajiri waliponiona
wakauliza mtoto huyu ni wanani
waliniceka Nilicekelewa sana
Nami nilikuwa naona walikuwa
na Sababu.


Ulikubali ukamuaga Damu yako
Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure
Muanadamu mwenye dhambi
Ohh ohh Neema yako Niliona


CHORUS:
Neema Yako na Upendo ni ya ajabu
Asante kwa Damu yako imeniokowa
sijui niseme nini mbere zako baba
asante kwa yote olionitendeya


Njaa kiwu na machozi
huzuni ,kuhukumiwa na wengi
na majaribu mengi
hapo ndipo, umunitoa ukanipandisha
historiya yangu yote ikabadilika


Bila wewe baba
mimi ningekuwa wapi
bila upendo wako ningekuwa mbari
bira wema na fadhili zako
baba ningekufia gizani


Ulikubali ukamuaga Damu yako
Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure
Muanadamu mwenye dhambi
Ohh ohh Neema yako Niliona


CHORUS:
Neema Yako Na Upendo ni ya ajabu
Asante kwa Damu yako imeniokowa
sijui niseme nini mbere zako baba
asante kwa yote olionitendeya


Video