Joyce Omondi - Kweli Lyrics
Lyrics
Jeri, Jeri Mungu Baba nimeona mkono wako Nimejawa na furaha na amani Wanishangaza na yote umenitendea Kweli Baba fadhili zako ni za milele Kweli kweli eh/oh Hakuna mpendwa kama wewe Oh Jeri Mulungu ni muto sana Mulungu ni muto sana Wakati wa shida wanifariji ndani yako Mwokozi wangu kimbilio, mtetezi wangu we Umeniweza pendo gani hili Niwe wanje Muye Yesu kweli, yeye yu mwema Watenda majabu, hakuna kama wewe Ni wewe mkuu, ni wewe mkuu Watenda miujiza, hakuna kama wewe Ni wewe mkuu, ni wewe mkuu
Kweli ni wewe, milele ni wewe tu Pokea sifa Baba wastahili Milele ni wewe tu Nitakuinua, nitakuabudu Nitakuchezea kwa moyo wangu wote Yesu malo, pokea sifa malo Wastahili malo, nakuabudu malo Malo malo juu juu Amekutendea mema yo Amenitendea mema ye
Video
Joyce Omondi - Kweli (Official HD Video) ft. Kepha SMS SKIZA 7381087 to 811