Anatimiza - Timiza Ahadi Lyrics

by Kambua | in Kuabudu
Kuabudu Songs Playlist Music Videos

Anatimiza - Timiza Ahadi Lyrics

Mp3 Song

Mungu wa Ibrahimu ni mungu wetu leo,
mungu wa daniel ni mungu wetu pia habadiliki,
hafananishwi mungu wa isaka, anatimiza ahadi.

Timiza ahadi anatimiza ahadi
Timiza ahadi anatimiza ahadi
Mungu mwaminifu habadiliki kamwe
Yeye atatimiza

Wakati wake Mungu si kama binadamu
Na njia zake mungu ni njia kamilifu
Alivyoahidi baba atatenda
Alivyoahidi baba atatenda

Timiza ahadi anatimiza ahadi
Timiza ahadi anatimiza ahadi
Mungu mwaminifu, habadiliki kamwe
Yeye atatimiza
Yeye atatimiza
Yeye atatimiza


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Anatimiza - Timiza Ahadi:

2 Comments/Reviews

  • Pury Prity

    barikiwe sana Kambua you such a blessing continue inspring the generation be blessed
    be blessed Kambua wa wimbo huu ur such a blessing 6 months ago

  • Shama

    ubarikiwe tele tele ni wimbo unaojenga Imani sana 1 year ago