Sifa Lyrics

Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh by Kambua cover art

Kambua - Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh Lyrics

Artist:
Kambua

Lyrics

Wewe ni nguzo yangu
Wewe kimbilio langu
Mwanga wangu Baba yangu
Nikikimbia nimkimbilie nani?
Nikilia nimlilie nani?
Nikianguka nani aniamshaye
Nikilala nani anilindaye


Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele


Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele


Gongo lako
Na fimbo lako
Lanifariji Baba eeh
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu


Nishikilie Niongoze
Mbali na waovuBaba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele


Nishikilie Niongoze
Mbali na waovuBaba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele


@Kambua Nishikilie (Touch Me)


Video