Sifa Lyrics

Tumekuja by Fanuel Sedekia cover art

Fanuel Sedekia - Tumekuja Lyrics

Artist:
Fanuel Sedekia

Lyrics

Tumekuja!
Tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu
Tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu


Tumekuja nyumbani mwako na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo bwana
Tukasahau nafsi zetu
Tukakuwaze wewe tu na kukwabudu
Tukakuwaze wewe tu na kukwabudu
Tukasahau nafsi zetu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu wewe sskukwabudu maana ndiwe kristo bwana
Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu
Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu


Wewe ni mtakatifu wangu nasimama mbele zako na kukwabudu wewe, kukwabudu maana ndiwe kristo bwana
Maana ndiwe kristo bwana ×2
Kristo bwana! ×5


Video