Sifa Lyrics

Ni neema ya mkombozi - Nimefanyika kuwa mwana by Fanuel Sedekia cover art

Fanuel Sedekia - Ni neema ya mkombozi - Nimefanyika kuwa mwana Lyrics

Artist:
Fanuel Sedekia

Lyrics

Ni neema ya mkombozi
Ni neema sikustahili
Ni neema ya mkombozi
Nineema sikustahili


Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki


Ukuhani wa kifalme
Uzaao mteule
Mtu wa milki ya mungu
Nimefanyika kuwa mwana


Ukuhani wa kifalme
Uzaao mteule
Mtu wa milki ya mungu
Nimefanyika kuwa mwana


Kwa kazi ya msalaba
Yakale yoteyamepita
Tazama yamekuwa mapya
Nimefanyika kuwa mwana


Kwa kazi ya msalaba
Yakale yoteyamepita
Tazama yamekuwa mapya
Nimefanyika kuwa mwana


Ni neema ya mkombozi
Ni neema sikustahili
Ni neema ya mkombozi
Nineema sikustahili


Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki


Video