Sifa Lyrics

Ameni Amen Haleluya by Eunice Njeri cover art

Eunice Njeri - Ameni Amen Haleluya Lyrics

Artist:
Eunice Njeri

Lyrics

Usifiwe Mungu muumba mbingu na nchi yote
Ameni, Amen
Jehova Adonai, Jehova Elshadai
Ameni, Amen
Uko kila mahali Baba, dunia Yakutambua
Ameni, Amen
Ukisema Yahweh, nani apingane nawe?
Ameni, Amen


Hallelujah
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, mfalme, Bwana wa mabwana
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu


Tuko salama chini ya mbawa zake
Ameni, Amen
Kanisa sote tu imara tumesimama palipo sawa
Ameni, Amen
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo
Ameni, Amen
Usifiwe wewe uliye juu sana
Ameni, Amen


Hallelujah
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, mfalme, Bwana wa mabwana
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu


Hakuna silaha kinyume itakayofaulu
Ameni, Amen
Aliye ndani yetu ni mkuu zaidi ya tunaye muona
Ameni, Amen
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo
Ameni, Amen
Usifiwe wewe uliye shinda yote
Ameni, Amen


Tunakuinua
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, mfalme, Bwana wa mabwana
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu


Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, mfalme, Bwana wa mabwana
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu


Video