Sifa Voices + Reuben Kigame - Baba Yetu Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Baba Yetu (feat. Sifa Voices)
  • Album: Ombi Langu
  • Artist: Sifa Voices
  • Released On: 05 Jul 2012
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Sifa Voices Baba Yetu

Baba Yetu Lyrics

Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza
Wanyama wa pori, ndege wa angani
Sifa tele kwako Bwana

Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele Bwana

Tukiomba kwako Baba, sikio lako li wazi kwetu
Macho yako yatuona; sisi watoto wako
Ulimtoa Yesu, mwana wako wa pekee
Alikufa msalabani; sasa tuko huru

Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele Bwana

Hoiyee
Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele Bwana



Baba Yetu Video

Baba Yetu Lyrics -  Sifa Voices

Sifa Voices Songs

Related Songs