Reuben Kigame - Bwana ni Mchungaji Wangu Lyrics

Bwana ni Mchungaji Wangu Lyrics

Bwana ni mchungaji wangu,
Sitapungukiwa kitu
Hun’laza penye majani mabichi,
Huniongoza kwa maji matulivu

Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu

Hunihuisha nafsi yangu,
Hun’ongoza kwa njia za haki
Nipitapo bondeni mwa mauti,
Sitaogopa wewe u nami

Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu

Gongo lako na fimbo yako,
Vitanifariji mimi
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu

Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu

Psalms 23
he Lord is my shepherd; I shall not want. He maketh me to lie down in green pastures: he leadeth me beside the still waters. He restoreth my soul: he leadeth me in the paths of righteousness for his name's sake.


Bwana ni Mchungaji Wangu Video

Bwana ni Mchungaji Wangu Lyrics -  Reuben Kigame

Reuben Kigame Songs

Related Songs