Sifa Voices - Vita Vizuri - Nimevipiga Vita Vizuri Lyrics

Vita Vizuri - Nimevipiga Vita Vizuri Lyrics

Nimevipiga vita vizuri,
Mwendo wangu nimeumaliza
Nayo imani nimeilinda
Natarajia kupewa taji na Bwana

Nikitazama nyuma sijuti hata
Nimejifunza kusahau yaliyopita
Sasa najisukuma kwa yaliyo mbele
Nikimfuata Yesu mwokozi wangu

Japo imani yangu imetikiswa
Mimi nimeshikiliwa na Yesu wangu
Hata wakiniacha rafiki zangu
Siri mimi niko na Imanueli

Nifuateni, nifuatatavyo Yesu
Yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu
Msishawishike na ulimwengu upitao
Tuvipige vita vizuriVita Vizuri - Nimevipiga Vita Vizuri Video

Vita Vizuri - Nimevipiga Vita Vizuri Lyrics -  Sifa Voices

Sifa Voices Songs

Related Songs