Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana Lyrics - Aflewo
Aflewo swahili
Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana Lyrics
Moyo wangu sifu Bwana, sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe, anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana,
Oooh Moyo wangu
Moyo wangu sifu Bwana, sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe, anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah!
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah!