KAMA AYALA Lyrics

Aflewo swahili

Chorus:
Kama Ayala Ayatamanivyo Maji
Ndivyo Moyo Wangu ukutamanivyo Yesu
Nijaze Nguvu Zako
Siku Zote Nikupendeze Wewe

KAMA AYALA Video

Buy/Download Audio

KAMA AYALA Lyrics

Ngome Nyingine Sina,Kwako Ninakimbilia Baba 
Ni Wewe Mwenye Kuniwezesha,Vitaniua Vishindi Haya
Ngome Nyingine Sina,Kwako Ninakimbilia Baba 
Ni Wewe Mwenye Kuniwezesha,Vitaniua vishindi Kama haya

Kama Ayala Ayatamanivyo Maji
Ndivyo Moyo Wangu ukutamanivyo Yesu
Nijaze Nguvu Zako
Siku Zote Nikupendeze Wewe

Kama Ayala Ayatamanivyo Maji
Ndivyo Moyo Wangu ukutaanivyo Yesu
Nijaze Nguvu Zako
Siku Zote Nikupendeze Wewe

Kama ile Nguzo Ya Mbingu Mchana,Uniongozee
Kama ile Nguzo Ya Moto Usiku,Uniongozee
Hatima Yangu Ni Wewe Baba,Siku Zote Nikupendeze Wewe

Nitaongozwa Na Bwana,(Usiku Na Mchana)Usiku Na Mchana,Usiku Na Mchana Tena 
(Yesu Rafiki)Yesu Rafiki Wa Kweli Ninakumbuka Zake
Nitaongozwa Na Bwana,(Usiku Na Mchana)Usiku Na Mchana,Usiku Na Mchana Tena 
(Yesu Rafiki)Yesu Rafiki Wa Kweli Ninakumbuka Habari Zake

Na Wewe Na Wewe Yesu Mimi Na Wewe Na Wewe Na Wewe Yesu Mimi Na Wewe Hatujamalizana Bado Bado Yesu Mimi Na Wewe Baba