Sifa Lyrics

Ninataka Kuingia by Natasha Lisimo cover art

Natasha Lisimo - Ninataka Kuingia Lyrics

Artist:
Natasha Lisimo

Lyrics

Ninataka...
Ninataka kuingia
Mjini mwa Mungu
Nitashinda
Nitakaza mwendo nifike
Nikishikwa na shida
Nikichoka njiani
Yesu unaniambia uningojee


Naitwa na Yesu Kristo
Enzini mwake (hmmm)
Nakimbia kukawia hakuna faida
Babaa
Wote wachelewao
Hawatapata taji
Mimi sitaki kingine
Ila uzima


Hmmm Nataka niingie Bwana
Mmh Bwana Yesu, Hmmmm


Elekeza macho Yangu
Langoni pako, hmm
Nipe nguvu niongoze ninapochoka
Yesu ! Ninapojaribiwa
Ninaposingiziwa
Hoo Yesu Unisaidie
Nisikuaachee
Mkono wako unishike
Nisianguke
Najiona kuwa mnyonge
Nguvu i kwako
Babaa !


Neno Lako eh Yesu
Linanipa uzima    
Eeh nikifika nitaimba unmeniponya


 


 


Video