Natasha Lisimo - Mfariji Lyrics
Lyrics
Ooh Baba Mfariji mwokozi Sina mwingine ninakuja kwakoo Nisikie uniokoe Katika wako nami niwe wako Unapodhuru wengine Na mini niwe katikati yao Magoti kwako napiga Baba naomba unisikie Maana mapito mengi Katika ninayopitia Pasipo wewe eeh Hakika mimi sitoweza
Usiniache adui nikahaibikaa Uso wako uwekwangu Mkono unishike Nifunike mbawa zako unikumbatie Mbavuni mwako na hakika mi niko salama Mi naomba … usiniache
[CHORUS] Niwe naweeeee naweee Siku zote usiniacheee Yesu nihaibike Niwe naweeeee nawe Siku zote usiniacheee Yesu nihaibike
Eeehhhh… Usiniache nihaibike Heiyeeeh…. Ohoowooo. Heeeey
Kwenye bahari ile ya galilaya Ulimshika mkono Petro alipotaka kuzama Israel noa hooo Hukuwaacha wateseke Ulikumbuka agano Ukawaokoa na mateso Nikumbuke na mimi Yesu eeh hey Maana mapito mengi Katika njia ninayopitia Pasipo wewe eh Hakika mimi sitoweza Usiniache kwa adui Nikahaibikaaa Uso wako uwe kwangu mkono unishike Nifunike mbawa zako unikumbatiee Mbavuni mwako nahakita Mi niko salama Mi naomba usiniacheeee
[CHORUS] Niwe naweeeee naweee Siku zote usiniacheee Yesu nihaibike Niwe naweeeee naweee Siku zote usiniacheee Yesu nihaibike
Usiniache Baba Baba yangu Usiniache Baba Mwokozi wangu aaaaaah aaaaaa Aaaaaah aaaaaa
Video
NATASHA LISIMO - Mfariji (Official Video)