Sifa Lyrics

Hakuna Usiloweza by Essence of Worship cover art

Essence of Worship - Hakuna Usiloweza Lyrics

Artist:
Essence of Worship
Album:
Bwana Unatawala (Live)
Official Release:
14 Oct 2023

Lyrics

Hakuna hakuna hakuna 


Hakuna usiloweza 


Hakuna hakuna hakuna 


Hakuna usiloweza 


Wewe ni Mungu wakuabudiwa 


Milele yote wewe ni kiongozi 


Uliwavusha wanaisraeli 


Bahari ya shamu kwa uwezi wako 


Maserafi makerubi wanasujudu mbele zako 


wanazivua taji zao mbele zako wakisema 


Niwewe wastahili heshima 


Lazima tuimbe tulisifu jina lako


Hakuna hakuna hakuna 


Hakuna usiloweza  


Hakuna hakuna hakuna 


Hakuna usiloweza  


...


Hakuna usiloweza Yesu


Hakuna usiloweza Yesu


Hakuna usiloweza Yesu


Video