Martha Mwaipaja - KUSHINDA LAZIMA Lyrics

KUSHINDA LAZIMA Lyrics

Nimesikia mwenyewe baba akiniambia mwanangu ata iweje
Kushinda ni lazima
Nimesikia akisema ata iweje 
Kushinda ni lazima
Mimi nimesikia mwenyewe baba akiniambia mwanangu ata iweje
Kushinda ni lazima

Iwe ni mvuaza haukujua kadiri yake
Katika yote alinihahakishia nishinde
Mimi nimesikia mwenyewe baba akiniambia mwanangu ata iweje
Kushinda ni lazima

Aliyeniambia ni yeye hajawahai shindwa kitu
Zamani nilikuwa ninaogopa kwa sasa siogopi
Ushindi ni lazima
Niliposemwa nililia kwa sasa silii 
Ushindi ni lazima
Nilipotishwa nilitetemeka kwa sasa sitetemeki
Ushindi ni lazima
Nilipozingiziwa niliogopa mimi kwa sasa siogopi
Ushindi ni lazima
Aliyeniambia yeye ni yote katika yote 
Ushindi ni lazima

Nimesikia akisema ata iweje 
Kushinda ni lazima
Mimi nimesikia mwenyewe baba akiniambia mwanangu ata iweje
Kushinda ni lazima

Ameniambia nitazame mimi mwenyewe niko na wewe
Ushindi ni lazima
Mimi nimesikia mwenyewe baba akiniambia mwanangu ata iweje
Kushinda ni lazima

Amenihakikishia atakaye pigana nami
Ameshindwa
Mimi nimesikia mwenyewe baba akiniambia mwanangu ata iweje
Kushinda ni lazima

Halleluya halleluya

KUSHINDA LAZIMA Video

Martha Mwaipaja Songs

Related Songs