Martha Mwaipaja - Anatawala Lyrics

Lyrics

Anatawala Anatawala Anatawala Anatawala Yesu(x2)

Wanabadili mawazo yao wanafika mwisho Leo ninayo majibu yao(x2) Wanajiuliza sanaar ninawezaje Wanatafuta sanaar anapataje Jibu Ni moja tu Yesu Anatawala Mawazo yapo chini  Sina Shaka yutawala nami

Anatawala Anatawala Anatawala Anatawala Yesu (x2)

Anatawala Yesu Anatawala Anatawala Anatawala Baba Yangu Ameiweka dunia,Amemueka Binadamu Amemfanya aishi kwa uhuti  Anatusamehe Anatulinda Ameshikilia mbingu Nani mwanadamu atasimama kumpinga Wote tupande Sauti tusaidiane

Anatawala Anatawala Yesu Anatawala Anatawala milele Anatawala Yesu

Video

Janeth Jimmy ft Martha Mwaipaja - Anatawala (Official Video)

Thumbnail for Anatawala video
Loading...
In Queue
View Lyrics