Sifa Lyrics

Ni Tabibu by Martha Mwaipaja cover art

Martha Mwaipaja - Ni Tabibu Lyrics

Artist:
Martha Mwaipaja

Lyrics

Ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu
Na neema za daima ni dawa yake njema
Hatufai kuwa hai, wala hatutumai


Ila yeye kweli ndiye atupumzishae
Imbeni malaika sifa za Yesu bwana
Pekee limetukuka, jina lake Yesu
Dhambi pia na hatia ametuchukulia


Twenendeni na amani, hata kwake mbinguni
Uliona damu jina la Yesu kristo bwana
Yu na sifa kwenye kufa asiishidwe na kufa
Imbeni malaika, sifa za Yesu bwana
Pekee limetukuka jina lake Yesu


Kila mume asimame, sifa zake zivume
Wanawake na wasiiche kusifu jina lake
Imbeni...


Video