Martha Mwaipaja

Niko Hapa Lyrics

Niko hapa, niko hapa 
Niko hapa mimi nakungoja niko hapa 
Nimejaribu hakuna nililoweza 
Niko kwako Mungu wangu nitetee 
Nimefika mwisho wa akili zangu Mungu 
Baba Baba Baba unitetee 
Wewe ngao yangu, wewe uzima wangu 
Ponya majeraha yangu Baba 

Nimesikia umeponya wengi 
Na mimi Baba niko hapa 
Wewe dawa Yangu, wewe uzima wangu 
Ponya majeraha yangu nitetee 
Hakuna aliyeweza nisaidia 
Niko kwako Bwana 
Siwezi siwezi ona madaktari wote wameshindwa 
Nimekukimbilia Mungu 
Hakuna aliyekuja kwako ukamwacha 
Mponyaji wangu...

Niko hapa, niko hapa 
Niko hapa mimi nakungoja niko hapa 
Niko hapa, niko hapa 
Niko hapa mimi nakungoja niko hapa 


Niko Hapa Video