Willy Paul - Poromoka Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Poromoka
  • Album: The African Experience
  • Artist: Willy Paul
  • Released On: 26 Nov 2021
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Willy Paul Poromoka

Poromoka Lyrics

Congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
Congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
Twende nikumake usimame, coz baby you are so fine
Baby do you know you blow my mind
Oh baby girl you are so fine

Girl you dey burst my mind oh
You make me go kakololo
Your body fine like wine girl
Una nyuma na manengo

Congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
Congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
He he hey....kwa kufanya wanaume hawalali
He he hey.... kwa kufanya wanaume wakose amani

Uko na nini mama, tunaporomoka
Kwa urembo wako mama, tunaporomoka
Kwani we ni nani, tunaporomoka
Unajiweza sana, tunaporomoka

Uko na nini mama, tunaporomoka
Kwa urembo wako mama, tunaporomoka
Kwani we ni nani, tunaporomoka
Unajiweza sana, tunaporomoka

The way your body been unatuconfuse
Ah unatuseduce
Mama kidogo reduce, coz unatuconfuse

Na baby ukinipea nitang'ang'ana
Aii nitang'ang'ana
Hapa kazini nashindwa
Nipee hata kwenye kiti
Oh nimeshindwa kidogo nilambe
Uliumbwa na maji ya moto
Baby we moto, na huna tabia mbaya
Uko sawa mama 

Congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
Congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
He he hey....kwa kufanya wanaume hawalali
He he hey.... kwa kufanya wanaume wakose amani

Uko na nini mama, tunaporomoka
Kwa urembo wako mama, tunaporomoka
Kwani we ni nani, tunaporomoka
Unajiweza sana, tunaporomoka

Uko na nini mama, tunaporomoka
Kwa urembo wako mama, tunaporomoka
Kwani we ni nani, tunaporomoka
Unajiweza sana, tunaporomoka

Unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
Unafanya ah nijikune mama
Unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
Unafanya ah nijikune mama

Unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
Unafanya ah nijikune mama
Unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
Unafanya ah nijikune mama

Congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
Congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
He he hey.... kwa kufanya wanaume hawalali
He he hey.... kwa kufanya wanaume wakose amani

Uko na nini mama, tunaporomoka
Kwa urembo wako mama, tunaporomoka
Kwani we ni nani, tunaporomoka
Unajiweza sana, tunaporomoka

Unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
Unafanya ah nijikune mama
Unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
Unafanya ah nijikune mama

Poromoka Video

Willy Paul Songs

Related Songs