Willy Paul - Lala Salama Lyrics
Lyrics
Willy Willy, uu Willy Paul Yoyoo Yoyoo Yoyoo Ooh Tumba Tumba Tumba Tumba Eeeh Richie Bitz Kama Ni Kachumbari, Ooh Tulikula Lala Kama Ni Katurungi, Ooh Tulikunywa Lala Kama Ni Kauji, Ooh Tulikula Lala Hata Kapepsi No, Ooh Tulikosa Sana Zaidi Ya Maji, Ooh Nasiutani Rafiki Rafiki Willy Willy, uu Willy Paul Yoyoo Yoyoo Yoyoo Ooh
Ooh Nasiutani Rafiki Rafiki, Ooh Nasiutani Oooh Oooh Oooh Oooh Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Oh Tangu Uondoke Mama Amekuwa Akiteseka Sana Na Magonjwa Kwa Kupigwa Kwa Kurushwa Nanana Kwa Kupigwa Kwa Kukandwa Kwa Kurushwa Aaaa Bado Jalali Ametulinda, Akutuacha Tuangamie Bado Mwenyezi Ametulinda, Akutuacha Tuangamie Kabla Uondoke Ulitambua Kanilikua Msanii Nikafanya Rabuka, Nikafanya NiSitolia, Nikafanya NiMpenzi Na Sasa You Never Know Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Majirani Wakuulizia Msela ulienda Wapi Wateja Wauulizia Fundi Alienda Wapi Watoto Wauulizia Jamani Ulienda Wapi Watoto Wauulizia Baba Willy Alienda Wapi Inabidi Niwadanganye, Eeh Baba Ako Ofisini Inabidi Niwadanganye, Baba Ameitwa Kazi Ooh Inaniuma Ooh Inaniuma Ooh Inaniuma Aaah Moyoni Inachoma Moyoni Inachoma Moyoni Inachoma Aah Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama
Jalali Akulinde Akuweke Pema Peponi Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama Eeeeeh Oooooh Eeeeeh Ooooh Salama Salama Salama Salama Salama Salama Salama
Video
Willy Paul - Lala Salama (Official Music Video) (@willypaulbongo)