Sifa Lyrics

Sakata by Bahati cover art

Bahati - Sakata Lyrics

Artist:
Bahati

Lyrics

Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Napiga selfie niposti nimeokoka
Na nasakata hiyo
Nina mapozi kijana nimeokoka
Na nasakata hiyo


Wanaobonga hawajui nilikotoka
Na nasakata hiyo
Ni miujiza nione nimeomoka
Apewe sifa huyo


Iwe ni gengetone raggatone
Yangu ni gospel tone
Gengetone raggatone
Yangu ni gospel zone


Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Iwe rhumba iwe raggae(Sakata)
Nakazana sitachoka(Sakata)
Kukupa sifa sitawacha
Nitacheza mie(Sakata)


Kama baba ametenda(Sakata)
Kwani yeye ni Ebenezzer (Sakata)
January to December
Sifa nimpatie(Sakata)


Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Iwe ni gengetone raggatone
Yangu ni gospel tone
Gengetone raggatone
Yangu ni gospel zone


Sakata rhumba sakata
Wacha dumba sakata


Dear Lord this is Bahati
Doing a dance song
For your Glory
Sakata outta EMB


Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Sakata Rhumba sakata(Sakata)
Wacha dumba sakata(Sakata)
Daudi alisakata(Sakata)
Ufalme wake akapata


Video