Bahati - Unarudi Lini? Lyrics
Lyrics
Unarudii lini niambiee Ninayo mengi nikwambiee Unarudi lini Yesuu mmhh Ni miaka tangu uende Nimekungoja tangu Naye ni miaka tangu uondoke Nasoma kwa vitabuu aaahh
Nchi ya furaha, na nikikosa taabu aah Nilikungoja tangu enzi za babu aah Nchi ya furaha, na nikikosa taabu aah Nilikungoja tangu enzi za babu Nimewatuma wengi Eti nenda kamwambie Wazee wakanisa anagalau usikie aah Nimawatuma wengi walioenda aaoo Kyalo wa kamundia, habari ikufikie
Unarudii lini niambiee Ninayo mengi nikwambiee Unarudi lini Yesuu mmhh Unarudii lini niambiee Ninayo mengi nikwambiee Unarudi lini Yesuu mmhh
Uje tuende maskani Nikupeleke nyumbani Nikupe story za ghetto daddy aah Uje uwajue wenzangu Mashabikii zangu Ulionipa wasimame namii aah Nina maswali, moja mbili Nina maswali, nijibuuu hiviii aah Mama kaonduka, badoo sijakua star Sijaanza mzikii Nikatoa nyimbo mamaa Nikavuma mjini Mama kaonduka, badoo sijakua star Sijaanza mzikii Je ukija bado nitakua star Anione nikinawiri
Unarudii jinni niambiee Ninayo mengi nikwambiee Unarudi lini Yesuu mmhh Unarudii jinni niambiee Ninayo mengi nikwambiee Unarudi lini Yesuu mmhh
Naomba usije Friday Wenzangu wengi wako majii Angalau iwe Sunday Situmetoka kanisanii toka kanisanii Weno… sato Siku ya sabato Niibie sirii, unarudiii iiniii
Unarudii jinni niambiee Ninayo mengi nikwambiee Unarudi lini Yesuu mmhh Unarudii jinni niambiee Ninayo mengi nikwambiee Unarudi lini Yesuu mmhh
Mathew 24.29 And after the tribulation of those days Shall the sun be darkened And the moon shall not give her light Mtu wangu Hii wealth name of fame Zitapass away Akikuja kutuchukua, swali Ni wapi roho yako itakua
Video
BAHATI - UNARUDI LINI? (Official Lyrics Video)