Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie Baba
Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi nikununie Baba
Hizi vitu ndogo ndogo, ndogo
Sukari ikipanda na unga hizo vitu ndogo
Umekonda na yule ameunga hizo vitu ndogo
Unashinda unalia kusota hizo vitu ndogo
Kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo
Eeh vipide
Unajua bila Yesu ni trikide
Mimi bahatide nakwambia shida zako ni ndogode
Anakuchekide everyday ukicomplain ju ya holiday
Hizo vitu ndogode mbele yake ndogo ndogo kama odede
Na Unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo
Kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo
Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie Baba
Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi nikununie Baba
Hizi vitu ndogo ndogo, ndogo
Aah Mimi ni winner hata kama sina pesa
Lamborghini na bima
Najua zote atanipa nipa
Madeni alilipa huyu Yesu wa uzima
Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie Baba
Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi nikununie Baba
Hizi vitu ndogo ndogo, ndogo