Evelyn Wanjiru - Mungu Mkuu (Zaidi ya Yote) Lyrics

Lyrics

Unabaki kuwa Mungu pekee

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Nikitazama nyuma na mbele, naona ukuu wako Kaskazini, kusini pia, naona ukuu wako Magharibi nako mashariki pia, naona ukuu wako

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Hakuna mkamilifu katika wanadamu  Zaidi ya ewe Mungu wangu, Mungu wangu mmmh Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri  Kuwa wewe ni Mungu pekee, pekee, ni wewe

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Umenipigania vita vikali Bado mimi singeweza pekee yangu  Maadui waliniandama  Lakini ukawatawanya kwa njia saba  Usifiwe, uabudiwe

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Halleluyah Ninakuabudu Baba yangu wee mmmh Haubadiliki kamwe

Anabaki kuwa, Mungu tuu Anabaki kuwa, Mungu tuu Na kwa wakamba, Mungu tuu Na kwa waluhyha, Mungu tuu Na wakikuyu, Mungu tuu Na waturkana, Mungu tuu Hata wakisii, Mungu tuu Hata waluo, Mungu tuu Na kwa wamasai, Mungu tuu Na kwa wakalenjin, Mungu tuu

Wamijikenda, , Mungu tuu Anabaki kuwa, Mungu tuu Na kwa wazungu, Mungu tuu Africa yote, Mungu tuu Dunia yote, Mungu tuu Utabaki kuwa Mungu mkuu

Atabaki kuwa Mungu Utabaki kuwa Mungu mkuu

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe iyee

Zaidi ya yote  Utabaki kuwa Mungu Mkuu

Video

Evelyn Wanjiru -Mungu Mkuu (official video) SMS Skiza 71121904 To 811

Thumbnail for Mungu Mkuu (Zaidi ya Yote) video

Meaning & Inspiration

Evelyn Wanjiru's "Mungu Mkuu (Zaidi ya Yote)," released in 2014, is a powerful declaration of God's sovereignty and unchanging nature, resonating deeply with themes found throughout Scripture. The song's central message, as conveyed by its title which translates to "Great God (Above All Else)," immediately establishes a foundational truth: that God reigns supreme, irrespective of circumstances or time. This echoes the prophet Isaiah's declaration, "Before me no god was formed, nor shall there be any after me" (Isaiah 43:10), underscoring the uniqueness and eternality of the Divine. The lyrics repeatedly affirm God's immutability, referring to Him as the "Alpha and Omega" and stating "He never changes." This speaks to the steadfastness of God's character and His promises, a concept woven into the very fabric of Christian faith. As the book of Hebrews assures us, "Jesus Christ is the same yesterday and today and forever" (Hebrews 13:8), a truth that provides immense comfort and security in a world of constant flux.

The personal testimony within the song, where Wanjiru reflects on looking "back and forward," seeing God's greatness in every direction, aligns with the Psalmist's reflection on God's ever-present hand. Psalm 139 beautifully captures this intimate knowledge and presence of God: "Where can I go from your Spirit? Where can I flee from your presence? If I go up to the heavens, you are there; if I make my bed in the depths, you are there" (Psalm 139:7-8). The acknowledgment that human perfection is absent, contrasting with God's absolute righteousness, directly points to the core Christian doctrine of sin and redemption. The call for "every knee to bow and every tongue to confess" that He is God is a direct echo of Philippians 2:10-11, which foretells a universal recognition of Christ's lordship. Furthermore, the powerful lyrics about God fighting battles and scattering enemies vividly portray the divine intervention and protection experienced by believers. This resonates with numerous biblical accounts, such as God's deliverance of the Israelites from Egypt (Exodus 14) or David's victories against his adversaries, often attributed to God's strength rather than his own. The inclusion of various ethnic groups in the song, all declaring "Mungu tuu" (God alone), is a beautiful testament to the universality of the Gospel, demonstrating that God's reign transcends cultural and tribal boundaries, a vision echoed in Revelation 7:9 where John sees "every nation, tribe, people and language." Ultimately, "Mungu Mkuu (Zaidi ya Yote)" is not merely a song but a profound theological statement set to music, offering an inspiring and unwavering affirmation of faith in the Almighty God who remains, above all, Mungu Mkuu.

Loading...
In Queue
View Lyrics