Evelyn Wanjiru - Waweza (Able) Lyrics

Lyrics

Waweza waweza waweza mwokozi waweza mambo yote wewe mwaminifu

Bwana Mungu wangu weee umenikombowa eee umeniwezesha mimi wewe ni mkuu ukaniita kwa jina langu eeeee ukaniwezesha bwana eee nikuabudu bwana nikuimbie nilipokuwa kwenye dhambi ukanionyesha mwanga mwanga wewe ni mwanga wangu bwana wewe ni mkuu. .

Chorus: Waweza waweza waweza mwokozi Waweza mambo yote wewe mwaminifu x2

Bwana mungu wangu eee wewe ulimsaidia ayubu alipokuwa na shida nyingi bwana ulikuwa naye neno lako linasema unazo fedha eeeeee zote nizako bwana wewe ni muweza

Waweza waweza waweza mwokozi Waweza mambo yote wewe mwaminifu x2

Wakati ninazo shida na magonjwa bwana unasema tuliite jina lako wewe ndiye muweza wewe ndiye mwenye nguvu wewe ni kimbiliyo baba waweza mambo yote..

Waweza waweza waweza mwokozi Waweza mambo yote wewe mwaminifu x2

unaweza unaweza unaweza baba unaweza x2 .

Translation Chorus: 
You are able
You are able Savior 
You are able to do all things 
You are faithful

Video

WAWEZA-Evelyn Wanjiru (OFFICIAL VIDEO)

Thumbnail for Waweza (Able) video
Loading...
In Queue
View Lyrics