Sifa Lyrics

Tunakuabudu Mwenye enzi  by Evelyn Wanjiru cover art

Evelyn Wanjiru - Tunakuabudu Mwenye enzi Lyrics

Artist:
Evelyn Wanjiru

Lyrics

Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi


Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu
Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu


Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi


Tunanyenyeke mbele zako nikisema wewe ni mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba


Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi


Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu
Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu
Mwana wa mungu simba wa yuda, umetawala uko apa


Oooh imbia yesu anayenipigania
Oooh imbia yesu anayenipigania
Oooh imbia yesu anayenipigania


Video