Sifa Lyrics

Panguza macho ili uone mbele by Zb cover art

Zb - Panguza macho ili uone mbele Lyrics

Artist:
Zb

Lyrics

Verse 1


Walikusema, walikucheka,
Lakini kesho mambo itakuwa shwari
Mambo itakuwa shwari na wewe


Chorus (Repeat)


Panguza macho, panguza macho,
Panguza macho ili uone mbele, utacheka tena


Verse 2


Wale wale watu, ulikula nao, ulicheka nao,
Hata kutembea, ulienda nao
Unaonaonana nao, wako wapi?
Walikuacha ukizubaa
Walikuacha ukilia
Hao, walikuacha ukiwa down
Panguza machozi, usilie
Kumbuka Sarah alipata mtoto baada ya kuvumilia,
Kesho itakuwa vyema na wewe


Chorus (Repeat)


Verse 3


Shamba ni yako, wanakupeleka kortini, ufanye nini?
Gari umenunua, sura mbaya wakapita nayo, wakutakia nini?
Hata huko kazini moto umewaka, wanataka nini?
Ulidhani umepata lazizi, kumbe ilikuwa bure.
Wakutesea nini, unaonaonana nao, wako wapi?
Walikuacha ukizubaa, wako wapi?
Walikuacha ukilia, hao, walikuacha ukiwa down
(They left you while you were stressed)
Eeh, panguza machozi, usilie, safari bado,
Kilio kinaweza kuwa usiku, furaha inakuja asubuhi,
Wewe utacheka tena


Chorus (Repeat)


Bridge


Baba, baba, baba, baba (x2), anaweza
Baba wa mbinguni, baba wangu mie, anaweza
Walikupa kisongo wakaenda
Kesho watakupa saluti
Mungu wetu hana ubaguzi, anakuona


Chorus (Repeat)


Video

Meaning & Inspiration

"Panguza Macho Ili Uone Mbele" ("Wipe Your Eyes So You Can See Ahead") addresses someone directly who has been mocked and abandoned, naming specific hardships, court disputes, workplace hostility, and friends who disappeared during difficulty. Its repeated chorus offers a simple instruction in response: wipe the eyes so the future can be seen clearly, promising that laughter will return.

A pivotal verse points to Sarah's long-delayed motherhood as precedent, using her account of enduring years of waiting before receiving a child as evidence that present hardship does not determine final outcome. That specific biblical reference grounds the song's general encouragement in a concrete example of delayed but fulfilled promise.

The bridge shifts from encouragement to direct address of God as Father, describing him as capable and impartial, seeing the singer regardless of who else has walked away. Rooted in Swahili gospel encouragement music, the song functions as comfort for those experiencing social abandonment and hardship, repeating its central instruction as an act of hope rather than denial of present pain.

Related Scripture

  • Genesis 21:1-2 Describes Sarah bearing a son in old age after long-awaited promise, the account directly referenced in the song's second verse.
  • Psalm 30:5 Describes weeping lasting only for a night while joy comes in the morning, directly echoed in the song's verse about tears turning to morning joy.