Sylvia Akoth + Ali Mukhwana - Ni Wewe Lyrics
- Song Title: Ni Wewe (feat. Sylvia Akoth)
- Album: Ni Wewe (feat. Sylvia Akoth) - EP
- Artist: Sylvia Akoth
- Released On: 22 Aug 2022
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music

Mungu wangu Ni Wewe Jehovah ni wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
mwenye Enzi Yote Utukufu Wote
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Bwana Nguvu Zote Heshima Yote
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
mwenye Enzi Yote Nakuinulia Macho Yangu
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Ee Baba Niseme Nini Mbele Zako
Wema Wako Niulinganishwe Na Nini Bwana
Umekuwa Kimbilio Maishani Mwangu
Umekuwa Tegemeo Maishani Mwangu
Mali Niliyo Nayo Ni Ju Ya Neema Yako
Umbali Nimefika Ni Ju Ya Neema Yako
Ingekuwa Mwanadamu Singestahili Lolote
Ingekuwa Mwanadamu Singepata Chochote
Ni Ju Yako Tu Niko Jinsi Nilivyo
Ni Ju Yako Tu Niko Hapa Leo
Eee Yesu We ee Yesu We Nani Kama Wewe
Alfa Na Omega Ni Wewe
Aliyekuwa,Atakaye Kuwa Ni wewe
Mungu Wangu Ni wewe
Ulinipenda Ukaniokoa Kwa Damu Yako
Yesu Ni Wewe
ila Goti Lipigwe Kila Ulimi Ukiri Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Uliyeniita Na Kunikomboa Ni Wewe
Niseme Nini Mbele Yako Bwana Wangu Hoo
Wewe Utoayo Katikati Ya Mavumbi
Tena Ni Wewe Uketishae Na Wakuu
Ni Wewe Ee Mungu Wangu Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Uliyenihesabia Haki Baba Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Sitambui Mwengine,Sijui Mwengine Baba Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Utukufu WanguUzima Wangu Baba Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Nisipo Kimbilia Wewe Ni Nani Mwengine
Nispo Tazamia Wewe Ni Nani Mwengine
Vizazi Ata Vizazi Yakufahamu Wewe
Dunia Yote Yakufahamu Wewe
Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Kimbilio Langu Mwamba Wangu Baba Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Mungu Wa Majira Yote Hakuna Likushindalo Kamwe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Uliye Na Haki Ya Uzima Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Mungu Wa Uzima Mungu Wa Milele Ni Wewe
Ni Wewe Bwana Ni wewe Bwana
Nimetambua Bila Wewe
Siwezi
Baba Bila Uzima Wako
Siwezi
Na Mimi Nitakuwa Mgeni Wa Nani Bila Wewe
Siwezi
Hakuna Aliyenifia Msalabani Ni Wewe
Hakuna Aliyeniokoa Kama Wewe
Hakuna Aliyelipia Gharama Yangu
Hakuna Aliyenipenda Kama Wewe
Hakuna Aliye
Aliye Kama Wewe
Kwake Jehovah Tumesimama Leo
Ndiye Mwamba Ni Salama Ndiye Mwamba Ni Yesu
Kwake Messiah Nimesimama
Ndiye Mwamba Ni Yesu
Ndiye Mwamba Ndiye Mwamba Ni Yesu
Ndiye Mwamba Ndiye Mwamba Ni Yesu