Sylvia Akoth - Ni Wewe Worship Medley Lyrics

Lyrics

Mungu wangu ni wewe, Jehovah ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana) Mwenye enzi yote na utukufu ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana)

Mwenye nguvu zote, heshima yote ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana) Mwenye enzi yote nakuinulia macho yangu (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana)

Eeh baba niseme nini mbele zako Wema wako niulinganishe na nini bwana Umekuwa kimbilio maishani mwangu Umekuwa tegemeo maishani mwangu

Mali niliyo nayo ni juu ya neema yako Umbali nimefika ni juu ya neema yako Ingekuwa mwanadamu singestahili lolote Ingekuwa mwanadamu singepata chochote

Ni juu yako tuu niko jinsi nilivyo Ni juu yako tu niko hapa leo Eeh Yesu we Yesu we, nani kama wewe  (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana) Alpha na Omega aliyekuwa, atakayekuwa ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana)

Ulinipenda ukaniokoa kwa damu yako (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana) Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri ni weewe (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana)

Yesu ni wewe, Baba ni wewe

Uliyeniiita na kunikomboa ni wewe Uliyeniiita na kunikomboa ni wewe Niseme nini mbele zako bwana wangu Wewe ndiwe utaoye katikati ya mavumbi

Tena ni wewe uniketishaye na wakuu Ni wewe Mungu wangu ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana) Dawa ya miguu yangu baba ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana)

Uliyenihesabia haki baba ni wewe, ni wewe baba (Ni wewe Bwana ni wewe, ni wewe Bwana)

Sitambui mwingine sijui mwingine, baba ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe Bwana) Wokovu wangu uzima wangu baba ni wewe  (Ni wewe Bwana ni wewe Bwana)

Nisipo, kimbilia wewe ni nani mwingine Nisipo, mtazamia wewe ni nani mwingine Vizazi hata vizazi vyakufamu wewe Dunia yote yakufahamu wewe

Ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe Bwana) Kimbilio langu mwamba wangu ni wewe  Baba ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe Bwana)

Mungu wa majira yote Hakuna likushindalo kamwe (Ni wewe Bwana ni wewe Bwana) Uliye na haki ya uzima ni wewe, ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe Bwana)

Mungu wa milele, Mungu wa ushindi ni wewe (Ni wewe Bwana ni wewe Bwana) Ni wewe ni wewe Yahweh

Dunia yote iko mabegani mwako Wewe ni nguvu yangu Yesu Umeinuliwa juu Ufalme wako ni wa juu yesu Umejawa na ukweli na haki Hakuna kama wewe

Bila wewe Yesu wee, siwezi Bila uwepo wako, siwezi Bila nguvu zako kwangu, siwezi Nimetambua bila wewe, siwezi

Baba bila bila uzima wako mi siwezi Baba bila kusema nami baba, siwezi Naamini nitakuwa mgeni wa nani bila, siwezi Naamini ni nani anayenipenda mimi bwana, siwezi

Hakuna aliye aliye aliye Hakuna aliye kama wewe Mungu wangu Hakuna aliye aliye aliye Hakuna aliye kama wewe Mungu wangu

Hakuna aliyenifia msalabani Hakuna aliyeniokoa kama wewe Hakuna aliyelipia gharama Hakuna aliyenipenda kama wewe Hakuna aliyee, aliye aliye kama wewe

Kwake Jehovah tumesimama leo Ndiye mwamba ni salama Ndiye mwamba ni salama Ndiye mwamba ni Yesu

Kwake Yahweh tumesimama leo Ndiye mwamba ni salama Ndiye mwamba ni salama Ndiye mwamba ni Yesu

Kwake Messiah tumesimama leo Ndiye mwamba ni salama Ndiye mwamba ni salama Ndiye mwamba ni Yesu

Aliyeniumba ni yeye Bwana wangu Ndiye mwamba ni Yesu Aliyeniita,  Ndiye mwamba ni Yesu Aliyenikubali ni yeye bwana Ndiye mwamba ni Yesu

Ndiye mwamba, ndiye mwamba  Ndiye mwamba ni Yesu Ndiye mwamba, ndiye mwamba  Ndiye mwamba ni Yesu

Ndiye mwamba, ndiye mwamba  Ndiye mwamba ni Yesu Ndiye mwamba, ndiye mwamba  Ndiye mwamba ni Yesu

Video

Ni Wewe Worship Medley - Sylvia Akoth ft. Ali Mukhwana

Thumbnail for Ni Wewe Worship Medley video
Loading...
In Queue
View Lyrics