Nakutegemea

Nakutegemea Lyrics

Yesu nakutegemea, Yesu nakutegemea 
Unishikilie nakutegema 
Usiniachilie nakutegemea  .

Nimekuwa kwa mlima huu nikikutafuta wewe 
Wewe uniwezeshaye nakuita aaah 
Tangu nikujue hujawai niwache nipotee 
Tangu nikujue hujawai niacha nimezww na dunia  .

Yesu nakutegemea, Yesu nakutegemea 
Unishikilie nakutegemea 
Usiniachilie nakutegemea  .

Nainua macho yangu kwako 
Nakutazamia wewe pekee yako ooh 
Anayekutegemea ni kama mlima wa sayuni 
Hatatingizwa kamwe 
Unavyozingira Yerusalemu hivyo ndivyo 
Unavyonizingira mimi 
Ninakutegemea leo, ninakutazamia leo leo leo Baba  .

Oooh ooh oh oh 
Sina mwingine kama wewe 
Nakutegemea 
Asante wewe 
Nakupenda 
kamtoa mwana wako kwa ajili yangu 
Niwe na uzima wa milele 
Nani mwingine angeweza ...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Nakutegemea:

0 Comments/Reviews