Nimesogea Lyrics

Zoravo kuabudu

Nimesogea enzini pako ninakuabudu  
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme umeinuliwa  .

Nimesogea enzini pako ninakuabudu  
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme umeinuliwa  .

Nimesogea enzini pako ninakuabudu  
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme umeinuliwa  .

Haleluya Bwana twaliinua jina lako takatifu 
Haleluya Bwana Wewe ni mkuu Wewe ni mkuu  .

Wastahili wastahili, wastahili Bwana 

Nimesogea Video