Sifa Lyrics

Waokoa Mataifa by Zoravo cover art

Zoravo - Waokoa Mataifa Lyrics

Artist:
Zoravo

Lyrics

Waokoa mataifa Bwana 


Jina lako lina nguvu 


Waokoa mataifa Bwana 


Jina lako lina nguvu 


Kila goti litapigwa 


Kila ulimi utakiri wewe ni Bwana 


Waokoa mataifa Bwana 


Jina lako lina nguvu 


Waokoa mataifa Bwana 


Jina lako lina nguvu 


Kila goti litapigwa 


Kila ulimi utakiri wewe ni Bwana 


Waokoa mataifa Bwana 


Jina lako lina nguvu 


Video