Umeshinda Yesu

Umeshinda Yesu Lyrics

Nikitembea naona baraka 
Ooh kupona naona 
Umeshinda Yesu  .

Nikitembea naona baraka 
Ooh kupona naona 
Umeshinda Yesu  .

Umefanya mengi yaliyo ju ya fahamu zetu 
Ya kushindwa mtu kukautwa utukufu mku 
Si wa mashaka, si wasiwasi 
Ukishatenda inabadi kuwa ushuhuda mkuu 
Yale umefanya yamebadilisha na majina yetu 
Toka kuchekwa umeweka kicheko 
Waganga walitutesa hawakuweza kutuponya 
Daktari alishasema vita kwamba imeshindikana 
Ila kwa damu ya dhamani ya Yesu umeturejesha 
Na nimeona oh nimeona umeshinda  .

Nikitembea (naona) baraka 
Ooh kupona (naona)
Umeshinda Yesu 
(*3) .

Yesu Yesu Yesu 
Jina lako ni tamu 
Hata kama gumu 
Bado jina ni tamu  .

Inatoa magonjwa (Yesu) 
Kiboko ya uchawi (Yesu) 
Fufua na wafu (Yesu) 
Tetemesha ardhi (Yesu) 
Inapasua miamba (Yesu) 
Vunja ngome kuzimu (Yesu) 
Wewe ni Mungu .

Mara mi ni kimya * 
Maana yeye ni mfalme 
Dunia nzima yatii 
Hakuna wa kumpinga 
Tuna ujasiri (Yesu)  .

Anatawala Jemedari wa vita 
Yeye ndiye ni simba wa Yuda .

Oh asante (naona) 
Kupona (naona) 
Naona umeshinda Yesu  .

Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza 
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo 
Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza 
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo 
...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Umeshinda Yesu:

0 Comments/Reviews