Evelyn Wanjiru - Utukufu Lyrics
- Song Title: Utukufu
- Album: Mungu Mkuu
- Artist: Evelyn Wanjiru
- Released On: 02 Aug 2017
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music

Umekuwa mwema kwangu, nashindwa kueleza
(Eeh bwana, eeh bwana)
Umekuwa mwema kwangu, nashindwa kueleza
(Eeh bwana, eeh bwana)
Umekuwa mwema kwangu, nashindwa kueleza
(Eeh bwana, eeh bwana)
Umekuwa mwema kwangu, nashindwa kueleza eh Baba
(Eeh bwana, eeh bwana)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Mamlaka yote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Umekuwa mwema kwangu, nashindwa kueleza
(Eeh bwana, eeh bwana)
Umepanua mipaka, natembea kwa neema, yako Baba
(Eeh bwana, eeh bwana)
Umepanua mipaka, natembea kwa neema, yako mimi
(Eeh bwana, eeh bwana)
Umepanua mipaka, natembea kwa neema, yako Baba
(Eeh bwana, eeh bwana)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Mamlaka yote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Na mikono nainua
(Twainuwa utukufu wote Baba, Tunakupa)
Na sauti twazipana
(Twainua utukufu wote Baba, Tunakupa)
Na mikono nainua
(Twainuwa utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu, utukufu, utukufu, utukufu
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Na mikono tunainua
(Twainua utukufu wote Baba, Tunakupa)
Na sauti zetu Baba
(Tunainua utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)
Na mikono tunainua
(Twainua utukufu wote Baba, Tunakupa)
Utukufu, utukufu, utukufu, utukufu
(Tunakupa, utukufu wote Baba, Tunakupa)