Bella kombo - Baba Lyrics
Lyrics
Eeeeeeee Eeeeee Baba ye oyaa yaa Nilipotoka Ni mbali Wala Sitatafakari Sitakumbuka ya kale kalee
Unafanya Jambo jipya Ata Sasa linachipuka Na machozi kunifuta Yahweh Ooooh baba Oooh Baba eeeeh Baba oooo
Ukanifunza kukusifu Mchana na Usiku Na majeraha yangu Baba ukaitibu Kama vile Mtoto hutoka kwa mama Ndivyo Baba unavyonibembeleza Nasema Asante
Asante Baba kwa kuniwazia Mema Asante Baba unaniwazia Mema Shukurani shukurani Kwa msalaba na damu na maji ukanifanya kuwa mwana Umeniweka juu ya yote juu ya mwamba
Kwenye Giza Mimi naangaza Oooooh Baba ooooh Baba ooooh Baba eeeeee Mamlaka mbele ya adui zangu Ushindi mbele ya adui zangu
Eti Kama mboo Ni la jicho lako Utachota naye anayechota nami Umenipa kila kitu ata uzima wa milele Asante Baba kwa kuniwazia Mema
Shukurani shukurani shukurani You are worthy to be praised Asante Baba kwa kuniwazia Mema aaeee Shukurani shukurani shukurani
Video
Bella Kombo - Baba (Official music video)