Sifa Lyrics

Mshindi by Bella Kombo cover art

Bella Kombo - Mshindi Lyrics

Artist:
Bella Kombo

Lyrics

Amka mkajivike nguvu
Eeh Sayuni mtumishi wangu
Nimekuita kwa jina lako
Utimize kusudi langu 


Kuwafungua waliofungwa ooh
Na mateka uhuru wao
Ndio Bwana nitaenda
Ndio Bwana nitafanya


Naujua wito wangu
Kusudi lako ili utimize
Sitikishwi na majaribu
Aliyeanzisha atamaliza 


Naujua wito wangu
Kusudi lako ili utimize
Sitikishwi na majaribu
Aliyeanzisha atamaliza 


Naujua wito wangu
Kusudi lako ili utimize
Sitikishwi na majaribu
Aliyeanzisha atamaliza 


Naujua wito wangu
Kusudi lako ili utimize
Sitikishwi na majaribu
Aliyeanzisha atamaliza 


Nijapopita kwenye uoga
Kwenye maji mengi
Naimarika kwa nguvu zako 
Wanitega imani


Hutaniacha mpaka nifike
Hutaniacha niaibike


Kwenye giza ukafanyika mwanga
Baharini ukafanyika njia
Na yule tubu ukanipa ushindi
Na kwenye makano ya seba nikatoka salama


Na jagwani ukafanya kisima
Kile kisima, kisima cha uzima
Na milango ya gereza ikafunguka 
Nami nikawa huru, huru kweli kweli


Nimeiona haki ya utukufu
Jina jipya ni mshindi
Ni mshindi, mimi ni mshindi
Ni mshindi, mimi ni mshindi daima


Naiona haki ya utukufu
Jina jipya ni mshindi
Ni mshindi, mimi ni mshindi
Ni mshindi, ni mshindi daima


Naiona haki ya utukufu
Jina jipya ni mshindi
Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi daima


Naiona haki ya utukufu
Jina jipya ni mshindi
Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi daima


Walioshindana nawe wataaibika
Wanaoshindana nawe wataanguka mbele yako
Asema Bwana, asema Bwana


Naiona haki ya utukufu
Jina jipya ni mshindi
Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi daima


Naiona haki ya utukufu
Jina jipya ni mshindi
Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi daima


Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi daima


Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi, ni mshindi
Ni mshindi daima


Video