Lyrics
Alipoturejesha mateka tulikuwa waota ndoto
Alipoturejesha mateka hatukuamini macho yetu
Tumeomba sana,tukafunga sana
Aliporesha Yesu hatukuamini macho yetu

Jamani tumelia sana,tukafunga sana
Aliporesha Yesu hatukuamini macho yetu
Alipoturejesha mateka tulikuwa waota ndoto
Alipoturejesha mateka hatukuamini macho yetu
Ee kumenikesha maombi nalipanga
Huyu Yesu amejibu maombbi yangu
Alipoturejesha mateka tulikuwa waota ndoto
Alipoturejesha mateka hatukuamini macho yetu
Aah ee Bwana ametenda Bwana
Aah ee Bwana ametenda Bwana
Aah ee Bwana ametenda Bwana
Aah ee Bwana amenikumbuka
Aah ee Bwana amenikumbuka
Aah ee Bwana amenilinda
Aah ee Bwana ametenda Bwana
Ametenda Bwana
Ametenda Bwana
Ametenda Bwana
Ametenda Bwana
Baraka Baraka
Baraka Baraka
Baraka Baraka
Baraka Baraka
Ilikuwa kama ndoto lakini leo imekuwa kweli

Sasa leo njooni muone yale Bwana ametenda
Ni Yesu
Ni Yesu
amefanya haya
Ni Yesu amefanya haya yote
Ni Yesu
Ni Yesu
amefanya haya
Ni Yesu amefanya haya yote
Sio katika mazingaumbe ni Yesu amefanya