Lyrics
Here are the lyrics to "Kuta za Yeriko" by Bella Kombo featuring Paul Clement:
[Intro / Chants]
Aii yelele, aii
Aye aye aii, aii, aii
Aii, aii, aii
Aii yelele
Aii, aii
Aye aye aii, aii, aii
Aii, aii, aii
[Chorus]
Kuta za Yeriko
Leo lazima zianguke
Bwana katutoa utumwani
Katupatia mahali hapa
Kuta za Yeriko
Leo lazima zianguke
Bwana katutoa utumwani
Katupatia mahali hapa
(Repeated multiple times by Bella Kombo, Paul Clement, and the Choir)
[Verse]
Tumezunguka mara ya kwanza
Tukazunguka mpaka mara ya saba
Kuta za Yeriko
Zimeanguka, anguka chini
Tumezunguka mara ya kwanza
Tukazunguka mpaka mara ya saba
Kuta za Yeriko
Zimeanguka, anguka chini
(Repeated multiple times)
[Bridge / Chants]
Aii yelele, aii
Aye aye aii, aii, aii
Aii, aii, aii
Aii yelele
Aii, aii
Aye aye aii, aii, aii
Aii, aii, aii
[Outro]
Tumezunguka mara ya kwanza
Tukazunguka mpaka mara ya saba
Kuta za Yeriko
Zimeanguka, anguka chini
(Repeated until fade)