Lyrics
(ft. Moses Luka)
[Verse 1: Moses Luka]
Nimezunguka sana
Ila Mungu kama wewe sijaona
Na naridhia bana
Hata walimwengu wakinicheka
Eti kisa nimekuchagua
Mimi siri yangu naijua
Wananiita majina majina
Ila mimi kwako ndio nimefika
[Pre-Chorus]
Hata nikipewa nafasi ya kuchagua tena
Nitakuchagua wewe
Moyo wangu na nafsi
Umevishikilia mimi naridhika na wewe
Upendo wako wa dhati hata wasiokupenda
Unawabariki wewe
Hata nikipewa kamusi
Haiwezi kumaliza kukusifia wewe
[Chorus]
You are my number one
Eh-yeah
Wewe ni namba moja
Eh-yeah
You are my number one
Wewe ni namba moja
[Verse 2: Joel Lwaga]
Pale umenitoa hawawezi nielewa hawa
Yale umenitendea nashindwa simulia sana
Acha wanione mjinga ni sawa
Wakitupa maneno, neno lako dawa
Siyumbishwi kama upepo na ngalawa
Oooh Lord, kwako nimejificha we ndo strong tower
Umenibeba mi napaa na zako mbawa
Sa kwingine nitafute nini labda balaa
[Pre-Chorus]
Hata nikipewa nafasi ya kuchagua tena
Nitakuchagua wewe
Moyo wangu na nafsi
Umevishikilia mimi naridhika na wewe
Upendo wako wa dhati hata wasiokupenda
Unawabariki wewe
Hata nikipewa kamusi
Haiwezi kumaliza kukusifia wewe
[Chorus]
You are my number one
Eh-yeah
Wewe ni namba moja
Eh-yeah
You are my number one
Wewe ni namba moja
You are my number one
Eh-yeah
Wewe ni namba moja