Sifa Lyrics

Egemeo - Moyo Wangu Na Ukuinue kila Wakati by Godwill Babette cover art

Godwill Babette - Egemeo - Moyo Wangu Na Ukuinue kila Wakati Lyrics

Artist:
Godwill Babette

Lyrics

Roho wako Mwenyezi amenifanya jinsi nilivyo
Pumzi yako uhai wangu umefufua mifupa mikavu
Uhai umenipa Baba Yangu,
Umetuliza dhoruba wakati wa mawimbi


Moyo wangu na ukuinue kila wakati
Nafsi yangu ikuhimidi kila saa
Moyo wangu naaah ukuinue kila wakati
Nafsi yangu ikuhimidi kila saa


Egemeo Baba yangu umbali huu ninashukuru
Mwambaa aah, dunia mbingu ni mashahidi
Umbali huu ni dhahiri ni wewe Bwana wa mabwana
Kwa makubwa na madogo ni wewe Bwana wa mabwana


Moyo wangu na ukuinue kila wakati
Nafsi yangu ikuhimidi kila saa
Moyo wangu naaah ukuinue kila wakati
Nafsi yangu ikuhimidi kila saa


Moyo wangu na ukuinue kila wakati
Nafsi yangu ikuhimidi kila saa
Moyo wangu naaah ukuinue kila wakati
Nafsi yangu ikuhimidi kila saa


Ninakuinua inua aah
Umetenda mema mema Bwana
Ni wewe wewe ni Jehovah Shammah
Ni wewe wewe ni Jehovah Jireh
Na bado wazidi kuwa yule Mungu umekuwa
Shammah we ni Jehovah Jireh


Video