Sifa Lyrics

Nitasimama by Edith Wairimu cover art

Edith Wairimu - Nitasimama Lyrics

Artist:
Edith Wairimu
Album:
Nitasimama - Single
Official Release:
29 Sep 2023

Lyrics

Adui aliomba anisiagasiage, 


anisiagasiage kama ngano 


Lakini Yesu aliomba 


Mimi nisimame, mimi nisimame 


Kwa wema wake 


Adui aliitisha anisiagasiage,


Tena anipepete kama ngano 


Lakini Yesu akasimama 


Mimi nisimame, mimi nisimame 


Kwa wema wake 


Ndio leo nimesimama


Nimesimama, kwa rehema na neema yake 


Ile gharama, ya uhai wangu 


Yesu amelipa yote eeeh!


Mimi sitokofu sitozimia aah!


Nitasimama kwa wema wake 


Mimi sitokofu sitozimia aah!


Nitasimama kwa wema wake 


Nilipokaribia kitini cha enzi 


Shetani alisema ni mchafu, huyu hafai 


Yesu akasimama, akasema ona 


Nimelipa gharama yake 


(repeat *2)


Nimesimama, kwa rehema na neema yake 


Ile gharama, ya uhai wangu 


Yesu amelipa yote eeeh!


Mimi sitokofu sitozimia aah!


Nitasimama kwa wema wake 


Mimi sitokofu sitozimia aah!


Nitasimama kwa wema wake 


Adui alinizika, akasema nimeisha 


Sitoonekana tena kamwe 


Yesu alipofika, akaniita 


Akaniita, akanipa uhai wake


Nimesimama, kwa rehema na neema yake 


Ile gharama, ya uhai wangu 


Yesu amelipa yote eeeh!


Mimi sitokofu sitozimia aah!


Nitasimama kwa wema wake 


Mimi sitokofu sitozimia aah!


Nitasimama kwa wema wake 


Shetani alete vita 


Mimi sitokofu sitozimia aah!


Nitasimama kwa wema wake 


...


Video