Sifa Lyrics

Umenijenga Juu Ya Mwamba - Umenibeba Juu by Godwill Babette cover art

Godwill Babette - Umenijenga Juu Ya Mwamba - Umenibeba Juu Lyrics

Artist:
Godwill Babette

Lyrics

Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh


Nani wa kufanana nawe Mungu wa Israeli
Wa Kupenda na kuchua ni wewe Jehovah ah
Umenifanya mrithi wa kusudi wa wema wako kabisa
Namtumianie nani yeye eh ila Ebenezer


Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh


Na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi
Tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
Nafsi yangu nakupatia nifinyange
Nitalinda moyo wangu huu uu ukufwate


Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh


Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni natoa
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni natoa
Sifa na ibada nyimbo za utukufu
Yote kwako moyoni mwangu natoa


Umebeba Juu Halleluyah
Umenijenga Juu ya Mwamba
Mungu umejaa wema na Mapendo oh
Eeh nimeona uzuri wako ooh


Video