Tunakusujudia

Tunakusujudia Lyrics

Wastahili kusifiwa 
U Mungu pekee Adonai 
Wastahili kusifiwa 
U Mungu pekee Adonai  .

Tunakusujudia 
Umetukuka enzini 
Tunakusujudia 
Umetukuka enzini  .

Tunakusujudia 
Umetukuka enzini 
Tunakusujudia 
Umetukuka enzini  .

Baba watawala enzini 
Hakuna Mungu kama wewe 
Baba watawala enzini 
Hakuna Mungu kama wewe  .

Tunakusujudia 
Umetukuka enzini 
Tunakusujudia 
Umetukuka enzini  .

Wewe ndiwe Bwana wa Bwana 
Wewe ndiwe Bwana wa Bwana  .

Mungu kama wewe (hakuna) 
Mungu kama wewe (hakuna)
Mungu kama wewe (hakuna)  .

Tunakusujudia 
Umetukuka enzini 
Wastahili


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Tunakusujudia:

0 Comments/Reviews