Bony Mwaitege

Mke Mwema Lyrics

Hapo mwanzo Mungu alimwumba Adamu
Bustani ya edeni aitunze
Baadae Mungu aliona sio vyema
Adamu awe peke yake akampa mke mwema
Hapo mwanzo oooh

Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
mke mwema aah

Majukumu yananizidi jamani nachoka
Kazi za ndani haziishi mke sina
Nimeshapiga deki
Maharagwe yaniungulia maji nimeishiwa
Nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika
Baado

Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
mke mwema aah


Mke Mwema Video