Vizazi hadi vizazi vyakufahamu Wewe ni Mungu

Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe
Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo
Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe
Umetukuka umeinuliwa ewe bwana

Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni mungu

Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni mungu

Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe
Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu
Uumbaji wako waonyesha hekima yako wewe
Watukuzwa kati ya mataifa milele bwana

Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni mungu

Sifa zako zi kinywani mwangu
Kwa jinsi ulivyo wewe
Kwa kusanyiko la watu wako, nikuinue mungu wangu

Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni mungu


Share:

Write a review of Vizazi Hadi Vizazi Vyakufahamu Wewe Ni Mungu:

1 Comments/Reviews
 • Christine

  Very touching song.when I sing I just feel to worship God.God bls u servant of God. May God inspire u more to bls people 7 months ago


 • Florence Mureithi

  @florence-mureithi

  Bio

  View all songs, albums & biography of Florence Mureithi

  View Profile

  Bible Verses for Vizazi hadi vizazi vyakufahamu Wewe ni Mungu

  No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

  Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music