Bila Wewe

Bila Wewe Lyrics

Nahitaji nguvu zako Bwana nisaidie 
Nahitaji neeema yako Bwana nisaidie 
Nahitaji mkono wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie  .

Siwezi siwezi Bila wewe 
Siwezi bila wewe 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie  .

Wewe ndiwe mkuu wa majeshi 
Vita vyangu nakukabidii wewe 
Nipiganie kwa maana 
kwa nguvu zangu nitashindwa 
El-Shaddai wewe ndiwe Mungu wangu  .

Siwezi siwezi Bila wewe 
Siwezi siwezi bila wewe 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie  .

Siwezi siwezi Bila wewe 
Siwezi siwezi bila wewe 
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie 
Nihitaji uwepo wako Yahweh nisaidie  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Bila Wewe:

0 Comments/Reviews