Sifa Lyrics

Nitumie by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Nitumie Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Nitumie jinsi nilivyo
Nitumie Bwana wangu (Jinsi nilivyo)
Kama chombo chako Mungu
Baba nitumie 
Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu


Siwezi bila wewe
Mi si kitu, mi si kitu
Mi si kitu bila wewe
Bwana nasadiki


Umenipa mataifa uwe urithi wangu
Nayo dunia kuwa milki yangu
Uhai wangu uko mikononi mwako
Nitakulinganisha na nini wee


Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu
Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu


Najua, mi si kitu
Najua, mi si kitu
Mimi najua, mi si kitu
Mi si kitu bila wewe


Sheria yako moyoni mwangu
Kuyafanyanya mapenzi yako
Nitumie, nitumie Yesu


Sheria yako moyoni mwangu
Kuyafanyanya mapenzi yako
Nitumie, nitumie Yesu


Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu
Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu


Siwezi bwana, mi si kitu
Siwezi, mi si kitu
Bila wewe, mi si kitu
Mi si kitu bila wewe


Bwana ni wewe kinga yangu
Ni wewe haki yangu
Ni wewe mwamba wangu wa dunia


Bwana ni wewe kinga yangu
Ni wewe uhai wangu
Ni wewe mwamba wangu wa dunia


Kimbilio langu, wewe
Masihi wangu wa karibu ni wewe
Mwamba wa dunia ni wewe
Tumaini langu ni wewe


Kimbilio langu, wewe
Masihi wangu wa karibu ni wewe
Mwamba wa dunia ni wewe
Tumaini langu ni wewe


Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu
Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu


Siwezi, mi si kitu
Siwezi, mi si kitu
Bila wewe, mi si kitu
Mi si kitu bila wewe


Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu
Nitumie Bwana wangu 
Kama chombo chako Mungu


Najua Bwana, mi si kitu
Najua, mi si kitu
Bila wewe, mi si kitu
Mi si kitu bila wewe


Siwezi bila wewe Yesu
Siendi bila wewe
Bila wewe mimi sifai
Nitumie kama chombo
Asante Yesu


Video